MAMA BOSCOW BEAUTY SALOON
Ni saloon nzuri ya kike inayojihusisha hasa na usukaji wa nywele za aina yote na mitindo yote,pamoja na hayo yote bei zetuni nzuri na nafuu kulingana na aina yamtindo,tunasuka nyele za aina nyingi kama jinsi zinavyelezewa hapa chini:
- Yebo Yebo kubwa na Ndogo
- Yebo Faster
- Yebo Achia N.k
Pia aina nyingine yamitindo ya ususi inayopatikana katika sallon yetu ni Vitunguu vya aina zote,Dread
na styles nyingine nyingi ambazo ni nzuri sana.Saloon yetu inapatikana Temeke kwa Aziz Ally kwa urahisi wa mawasiliano wasiliana nasi kwa namba hizi
- +255 (0) 659 771 616 au +255 (0) 744 874 597
karibu MAMA BOSCOW BEAUTY SALOON
KAULI MBIU YETU NI KUWA "LAZIMA UPENDEZE"
Comments
Post a Comment